Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Hiki kipute cha leo kwanza unatakiwa uwe mpole kidogo, mwisho wa game ndio uonyeshe mapenzi ya timu unayoipenda~ngoma haitabiriki hii!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha sio hivyo mkuu leo nimejikuta nimekaa vibaya sana,huku na msupport Van Persie alafu upande wa pili nime bet kwamba Brazil anashinda unaona sasa kazi hilivyo ngumu?.Kwahio matokeo yoyote powa tu ndio maana nimesema "may the best team win"lol.
Haya AW mambo ya the GUNNERS mpaka kwenye WC! We mkali! enjoy the game.
Easy goal by brazil.
Kiwango chao ndio kimefikia hapo. Hamna miujiza kwene soka.Hawa Wadachi inabidi waamke kutoka usingizini sasa.