World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hakukua na haja ya ku-suspend timu,timu ingevunjwa tu yote huku wakianza kujipanga upya bila kuwa na usiasa.walichokifanya sasa ni usiasa na ndio maana FIFA wana wafungia.
 
kufungiwa miaka miwili hiyo ni 2012 halafu 2014 ni WC nyingine,hivi wataweza kweli kushiriki..Naona angewafungia miaka 8 hivi,aridhike mwenyewe!!
 
slide_8100_108048_large.jpg


Larissa Riquelme, a curvy lingerie model who loves her national team, has been cheering the Paraguay squad on from Asuncion, clad in revealing outfits. The 24-year-old beauty has pledged to run naked through the streets "with my body painted with the colors of Paraguay" if Paraguay wins the World Cup.
The gorgeous football fanatic is not the first person to promise to streak in the event of a World Cup win. Argentina's coach Diego Maradona was the first prominent person to issue such a guarantee, and his team has also made the quarterfinals.
 
Matatizo ya wanasiasa haya, kwa hiyo timu ata michuano ya Afrika ya mwaka 2012 haitoshiriki na ukiweka adhabu ya FIFA hawa jamaa ata kombe la dunia la mwaka 2014 hawatoshiriki. Ni bora angevunja timu alafu wakaanza kuijenga upya.
 
URUGUAY WC TEAM.png VS GHANA WC TEAM.png
URUGUAY GHANA

EEE MWENYENZI MUNGU TUNAKUOMBA UIBARIKI GHANA ITUONDOLEE
HII AIBU YA KUWA KICHWA CHA MWENDA WAZIMU KILA KINYOZI ANAJIFUNZIA KWENYE KICHWA CHA WA AFRIKA.

nINA IMANI HAWA WATOTO HATA WAKISHINDWA KUVUKA WATAKUWA WAMEONESHA ANGALAU AFRIKA TUNAWEZA.
 
Mie ni mzalendo asilia naipenda afrika lakini sidhani kama Ghana atamfunga atamfunga Uruguay
 
mhh ....................... may be yanaweza tokea yale aliyosema PELE.
 
Kwani siri ya ushindi kwenye lolote ni kujiamini na kuwa na uwezo..sidhani kama mwanaume muoga ambae hata hajiamini anaweza kutongoza mwanamke na kukubaliwa..ila wale wenye comfo wasio na chembe ya aibu na wingi wa ujasiri ndo wanafanikiwa.GHANA WANAWEZA KUFANYA KILE AMBACHO KILA MUAFRIKA ANATAKA KIWE..kuweka historia ya kufika SEMI FINAL..Ni dhahiri akifika hapo atakutana na kifo cha wacheza samba
 
Ghana 2 - Uruguay 0

nimeipenda hii, natamani itokee.

Ghana wana mshikeli kidogo ambao pia unaweza kuwapa moyo wa kushinda. Ayew anakadi mbili za njano (hatacheza), Asamoah Gyan yupo majeruhi (kunashaka kama atacheza), Mensah pia ni majeruhi.

Nawatakia Ghana ushindi mnono.
 
Ghana watatutoa kimasomaso Africa. Ghana watawashinda Uruguay
 
BRAZIL na URUGUAY wanaaga mashindano rasmi leo (hili halina mjadala kabisa, hata FIFA wanaelewa)
 
BRAZIL na URUGUAY wanaaga mashindano rasmi leo (hili halina mjadala kabisa, hata FIFA wanaelewa)

Klorokwin naona wewe unafanya utani na Brazil ..angalia samba leo linavyochezwa pale uwanjani ..harafu utanipa majibu.:A S 39:
Kwa Ghana mmmh mungu saidia :A S-confused1: .....I reserve my comment
 
Back
Top Bottom