Tuliwalipa hela nyingi mno - ngoja ziwatokee puani !
hakuna matuta mkuu, BRAZIL anaaga hii ngoma ndani ya 90.
mkuu ngoma imelala hii, na sherehe sherehe zitakamilika usiku wakati GHANA atakapomkabidhi mruguay bao 2 bila majibu.Ebanaeeee... dakika zinazidi kuyoyoma! Hali mbaya sana, frustrated Brazilians :A S tongue:
Hapa niliwahi kusema kama Brazili safari hii hawalichukui ili kombe, yaani dalili ndio zimeanza, halafu Brazil hawana huruma walitufunga matano... yaani we wacha tu!
brazil inachukua hii kilaiiiiiiiiiiiiiiiini..andaeni macho tu...
Mkuu match hiyo naiwazia mpaka nakosa amani...mkuu ngoma imelala hii, na sherehe sherehe zitakamilika usiku wakati GHANA atakapomkabidhi mruguay bao 2 bila majibu.
wame log out bila kuaga. they are not richeboHe he he he wa-brazil mpooo......mechi ishakwisha hio imebaki aibu tu.....
natumai leo tutaona soka la hali ya juu. Brazil 3 netherlands 1