World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Ebanaeeee... dakika zinazidi kuyoyoma! Hali mbaya sana, frustrated Brazilians :A S tongue:
 
Ebanaeeee... dakika zinazidi kuyoyoma! Hali mbaya sana, frustrated Brazilians :A S tongue:
mkuu ngoma imelala hii, na sherehe sherehe zitakamilika usiku wakati GHANA atakapomkabidhi mruguay bao 2 bila majibu.
 
Hapa niliwahi kusema kama Brazili safari hii hawalichukui ili kombe, yaani dalili ndio zimeanza, halafu Brazil hawana huruma walitufunga matano... yaani we wacha tu!

Nakuona Sheikh Yahya umezuka na ramli eti....:A S tongue:
 
cornerdown_740564gm-t.jpg

Netherlands' Wesley Sneijder pulls the shirt of Brazil's Daniel Alves

Kazi ipo kwa Brazil leo..
stripeface_731842gm-t.jpg
 
mkuu ngoma imelala hii, na sherehe sherehe zitakamilika usiku wakati GHANA atakapomkabidhi mruguay bao 2 bila majibu.
Mkuu match hiyo naiwazia mpaka nakosa amani...

Bado Brazil wameelemewa japo ni dakika za mwisho, hii ni hatari kwao
 
brazil hawajazowea kutafuta goli la kusawazisha..............they r getting frustrated na muda unawatupa mkono
 
Yule mtangazaji wa Tv ya Brazil huwa anashangilia kwa mbwembwe sana magoli ya Brazil, sijui hali yake ipoje now
 
Zimebaki dakika tano na za majeruhi!!!...Kuna ndege inasubiri mtu jamani.
 
safari ni safari, iwe kwa miguu au kwa basi ama kwa pipa, safari ni safariii...........
 
mh, kweli hii gemu ni kipimo tosha cha magonjwa ya moyo, kisukari, akili nk.
 
Back
Top Bottom