klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Mpira umemaliza burazili njeeee 2-!
Hawatarudi home hao, maana huku viboko vinawasubiri
Vipi na wewe ni mmoja kati ya waliofurahi, au umenuna~kwi kwi!.halafu wewe.....
dah kama na GHANA wakishinda leo, kwa mara ya kwanza nitamuachia waifu salari yangu yote ya mwezi huu.hehehehehe
dah! umeibuka? hehehe gharama zako za wiki hii nitasimamia mimi.halafu wewe.....
dah! umeibuka? hehehe gharama zako za wiki hii nitasimamia mimi.
Ah wapi, kufungwa na pombe wapi na wapi?Abdulhalim upo wapi ndugu yangu nikununulie kastella artois au safari upooozee hasira mkubwa!!!
Kumbe mijitu humu ilikuwa inasubiria tu Brazil ifungwe..lol
Pole sana, mimi chama langu North Korea lishatolewa siku nyingi~ha ha ha.leo sitaki kuongea maneno mengi naenda kulala
Ah wapi, kufungwa na pombe wapi na wapi?
Mh, WRONG number!Brasil wafungasha virago vyao. Poleni sana washabiki wa Brasil hasa Invisible.