Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Sasa tujiandae kumuona Maradona akikimbia uchi ktk mitaa ya Buenos Aires. Njia imeshafunguliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini Nyani Ngabu, mpaka kubadilisha jina.........Brazil out hahahahahhah.......Nyani Ngabu naona full maumivu.
ina maana umeamua kulisaliti chama lako la PARAGUAY ? unajua linacheza kesho na SPAIN na wanahitaji uwapulizie vuvuzela wapate moyo.kwa kweli bahati mbaya sina timu nyingine, kwangu mimi leo ndio fainali na nimekubali matokea WC imeisha
seriously ..........brazil inawapenzi wengi mpaka watu waliozaliwa kwenye 70's hivi............ukivuka mshare wa 70 ukakanyaga 80, watu wanaisepa hiyo timu.
it stink of old generation..............hehehe
Naam jamaa alishaahidi lakini kesho nina wasiwasi Wajerumani watampiga bao.
Mie nashangaa maana Brazil ndiyo timu ina wapenzi wengi duniani ikiwemo Tanzania kuliko nchi nyingine yoyote ile duniani, lakini cha kushangaza hapa wenye furaha ya kufungwa kwa Brazil ni wengi mno kuliko inavyostahili. Je, kuna wengine wanangoja kipyenga cha mwisho ili waanze kushangilia timu ambayo ni mshindi?
i am sorry kukwambia ,hiki ndio kitakachotokezea.hii WC haitanifurahisha kama kesho iwapo ujerumani itaifunga argentine................
😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:Mkuu, Brazil wamekuwa so monotonous, watu tunataka sasa angalau timu zingine nazo zichukue hili kombe. Usije shangaa mwaka huu likaja Afrika, tehetehetehetehe
hii WC haitanifurahisha kama kesho iwapo ujerumani itaifunga argentine................
Ujerumani hawawezi kubahatika mara mbili mfululizo, their chance of winning vs Argentine is almost negligible.
i am sorry kukwambia ,hiki ndio kitakachotokezea.
ina maana umeamua kulisaliti chama lako la PARAGUAY ? unajua linacheza kesho na SPAIN na wanahitaji uwapulizie vuvuzela wapate moyo.
Hasa Dunga maana kuna wachezaji kama sikosei wawili au watatu ambao ni wakali sana katika league yao. Mmoja nadhani ndiye mfungaji bora aliombwa sana awachague kwenye timu na wapenzi, washabiki na hata vyombo vya habari lakini akaweka ngumu. Sasa atakiona cha mtema kuni, leo Brazili kuna huzuni kubwa sana nchi nzima.