World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hizi updates za jf kiboko sana mtu unaweza kupata ajali hiv hivi lol.asante sana wakuu .

mie naona siku hizi niwe na bet opposite lol.
 
kwa 7bu umenibembeleza sana basi nitashangilia Argentina, lakini na wao wakivurunda.....nitakuambia ni nini kitatokea....kombe ni moja kwa moja Buenos Aires
hehehe jaribu kushabikia timu ninazoshabikia mimi ili upate nafuu, hapa kitaa wananiita "eusobio" wengine wananiita "karl heinz rumaniga" kwa jinsi ninavyolichambua weldi kapu.
 
When the going gets tough, the tough keep going. The quarterfinal is that stage where we separate the men from the boys and the orange boys have proved that at the end of ninety minutes, it is the goals that count, congratulations guys. Excuses and blames will not help the samba boys or their fans - the most they can all do is go back to the drawing board and accept that while samba rules in the dancing halls, it is the goals that football fans pay to witness. Go, Ghana go and let the Uruguayans join their mates in kissing the World Cup goodbye !
 
He he he he he hee......leo na sisi underdogs tuna cha kusheherekea.....go orangee gooooo....

Leo hapakuwa na underdogs,sema tu Brazil inajulikana zaidi!..Kwa mara ya kwanza tumeshangilia wote timu moja,ha ha!!usiku nipo Ghana kimoyo moyo):-
 
Huree Dutch, mana leo Brazil wameaibika..du!yani nimechuchumia mpaka mwisho wa game,leo hakulaliki naona..Ghana,watufurahishe pia!!

naona leo uliamua kutumia nguvu za sheikh yahaya umeingia tu na kuwaambia wa dutch wafunge na kweli wakafunga lol.honegra sana.

Ghana Ghana Ghana tuko pamoja.
 
haya jamani ndio yeshapita .....gangeni yajayo wapenzi wa brazil....

ghana inafunga au inafungwa?
 
naona leo uliamua kutumia nguvu za sheikh yahaya umeingia tu na kuwaambia wa dutch wafunge na kweli wakafunga lol.honegra sana.

Ghana Ghana Ghana tuko pamoja.

AW acha tu,naona kijana wako V.Persie atakuwa na raha sana!..Sneijder ni nomaa!!..Asante nimefurahi mana usheikh umeanza kunikolea,ha ha..Powa tusubirie Ghana,fingers crossed!!
 
mkuu naona ulitupotea ghafla? hehehee mzee wenger bana!

mkuu nilichomoka kidogo lakini post yangu ya mwanzo si uliona ? leo klorokwini zako zimefanya kazi naona.hongera sana mzee wa ungerdogs.

Ghana tuko pamoja ,kombe liko open sana hili.
 
haya jamani ndio yeshapita .....gangeni yajayo wapenzi wa brazil....

ghana inafunga au inafungwa?


Hayapita kabisa, Breaking News ha ha..
Anyway, Ghana kila la kheri washinde...mpira nao kutabirika ni ngumu sana mkuu!!..Tuwape sapoti kimawazo🙂
 
AW acha tu,naona kijana wako V.Persie atakuwa na raha sana!..Sneijder ni nomaa!!..!

muhimu sana si unajua wakipata stress huko wanazileta kwenye club inakuwa noma.sneijder kiboko madrid wanajuta.

Kasheshe liko kwa Fabregas kule Spain naona anapata picha halisi(kupigwa bench) itakavyokuwa akienda huko Bracelona anapolilia lool.
 
Back
Top Bottom