Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,803
- 1,601
niliona post imejaa uzalendo wa "the gooners" , dah aisee GHANA wakishinda leo usiku itakuwa bomba sana! halaf hiki kichochoro cha GHANA kama watakaza buti ,kinapitika mpaka fainali. huyu mdachi anafungika sana tu.mkuu nilichomoka kidogo lakini post yangu ya mwanzo si uliona ? leo klorokwini zako zimefanya kazi naona.hongera sana mzee wa ungerdogs.
Ghana tuko pamoja ,kombe liko open sana hili.
GHANA wanashinda (hii haina mjadala kabisa, hata FIFA na mzee DUNGA wanaelewa hilo)Hayapita kabisa, Breaking News ha ha..
Anyway, Ghana kila la kheri washinde...mpira nao kutabirika ni ngumu sana mkuu!!..Tuwape sapoti kimawazo🙂
he he he ,hii nilikuwa mbado kuonahuyo anaesukumwa ni klorokwini na anayemsukuma ni ni ni....nammezea mana hasira aliyonayo....
GHANA wanashinda (hii haina mjadala kabisa, hata FIFA na mzee DUNGA wanaelewa hilo)
Amen na iwe mkuu, mzee ka-DUNGWA hana hamu sasa,bye Brazil..Nitamiss sura ya Kaka!!Robinho ni mkorofi,aii..
Nilikuwa mshabiki wa Brazil ila nilipoona hawa vijana wanaanza kuwa wakorofi nikaamua kuachana nao. Nimefurahi kufungwa kwao.
Haya mambo ya unazi nimeyaacha tangia leo, naona naweza matatizo ya kujitakia hapa~am done with ushabiki!.
amen na iwe mkuu, mzee ka-dungwa hana hamu sasa,bye brazil..nitamiss sura ya kaka!!robinho ni mkorofi,aii..
Belinda Wasu, yaani hapa nilipo hata hiyo hamu ya mechi sijui ya Ghana na nani vile!. Yaani kwishinee kabisa.Yego baba?kutiki? ha ha..bora uwe mshabiki vuguvugu tu mkuu..ha ha, leo wachezaji wa Brazil wataota hiyo mechi..du!
hivi hivyo viatu havikuumizi........urudi baadae tushangilie ghana........
Belinda Wasu, yaani hapa nilipo hata hiyo hamu ya mechi sijui ya Ghana na nani vile!. Yaani kwishinee kabisa.
Sijui wali-panic au la ila hawakuwa na game la nidhamu leo..Tunahitaji mabadiliko,Brazil ipumzike sasa..
Yaani sasa hivi ah, I hate WC, ngoja nisubiri fainali ya Wimbledon kesho, Serena Williams anacheza dhidi ya mpinzani mmoja hivi.Yani kumbe wewe ulikuwa Brazil damu?!..jamani,Brazil wetu wa JF yuko wapi?mana nae sipati hali aliyonayo..Tusubirie hiyo mechi,hata wakishindwa Ghana wana record mpya tayari japo wakishinda ni powa sana!!