Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
nimeshangaa sana jinsi gilberto silva alivyo na kiwango kizuri halafu Mr. Bean akamuuza kwa shilingi elfu sita
Itakuwa bomba sana wakienda kumuona Madiba huku wakiwa wameshatinga kwenye Semi finals. All the best Ghana.
Babadesi naona una namba kama zangu, labda tumechungulia chungu kimoja results za mchezo huu.
Yani utumbo unanicheza si kawaida, utafikiri mimi ni m-Ghana lol
Babes leo inabidi tushereheke ushindi huu uliozizima dunia..Brazil ni good team sema tunasahau kuna timu nyingine zinaweza kuwa nzuri pia!!
I can sense it, naona wengi wako kimyaaaa... ha ha ha!Mbona tupo wengi katika hali hio....:sick:
Hawa makocha ndio maana tunawashuku....something need to be changed hapo.....mpaka tufungwe aaaarghhhhhh.....