World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

_48240214_009719924-1.jpg



_48240215_009720498-1.jpg



 
Babadesi naona una namba kama zangu, labda tumechungulia chungu kimoja results za mchezo huu.


...Inavyoelekea BAK! Hizi namba nimeziota jana usiku. Hiyo moja inaweza kubaki kama ilivyo. hiyo 2 ikiongezeka na kuwa tatu ama hata nne si vibaya!
 
yap yani brazil maicon,lucio,julio cesar(kipa),gilberto silva,kaka,elano nimewakubali wazuri,ila bastos ndie sababu ya wao kufungwa leo,kama mnakumbuka ktk champions ligi bayern munich na lyon kule ufaransa mechi ya marudiano alikuwa chochoro sana kwa robben,yani pengo la marcelo wa real madrid limeonekana,ila dunga namsifu alimsoma sema alikuwa kachelewa kumtoa,mana wadachi aliwaanzia mchezo wa fujo na aliwaweza mwanzo,sema kipindi cha pili wadachi waligeuka wakawa mbogo.
 
Babes leo inabidi tushereheke ushindi huu uliozizima dunia..Brazil ni good team sema tunasahau kuna timu nyingine zinaweza kuwa nzuri pia!!

Nina sababu zote kufurahia ushindi wa Brazil, wajua baby! Nadhani pia hii ni laana kwa Dunga kumwacha Gaucho!
 
Kuna kila dalili za Ghana kupoteza hii game, naona kama hawana mkakati wowote hawa!.
 
Wakiweza kutompa Suarez na Forlan nafasi Ghana wanaweza fanya walichofanya Uholanzi leo! fingers closed
 
Duh!!!...Kingson atusave tena!...Heheheh...presha inapanda ikishuka sasa.
 
Suarezi goli 55 kwenye mechi 61 (Club yake na taifa) mmhhhhh jamaa mkali.....katukosa waafrica hapa!
 
Hawa makocha ndio maana tunawashuku....something need to be changed hapo.....mpaka tufungwe aaaarghhhhhh.....
 
Back
Top Bottom