World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Oooopps! I can now start watching without any fears lol, wakirudisha poa lakini tumeshawaonjesha chungu ya Africa ha ha ha
 
mambo hayo hehehehehe

:horn::horn::horn::horn::horn:
:horn::horn::horn::horn::horn:
:horn::horn::horn::horn::horn:
 
Half-time Ghana wako juu na bao moja bila...AMEEEENNNNN!!!!!!!!!!!!!

:horn::horn::horn::horn::horn::horn:
 
NUsu fainali inatutosha kabisa yaani washindi wa nne kwa ufupi pia itatosha .
 
Nilipoona kwenye wale 11 wa kuanza Muntari yupo tumaini lilikuwa kubwa, kwa wale wanaoangalia serie A wanajua vitu vyake! Ila kocha sijui anabeef naye lipi? common bado Boateng
 
Ghana ilikuwa kwene ascendency kwene last 10 minutes. Uruguay sielewi naona kile kibabu mulatto pale midfield kimeanza kuzidiwa.
 
Italeta heshima sana kwa Afrika naomba japo watinge Final LOL
 
:horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn:😛eace:hureeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ghanaaaaaaaaaaaa!!
 
ball posession zile dakika 15 za mwisho nadhani Ghana 95% Uruguay 5%.nomaaa kila kitu kinawezakana ndani ya AFRICA.
 
HAhahahahah tusifurahi sana Uruguay wataingia kama mbogo, Ghana wacheze mpira wao! Hawa wetu
 
kocha tulikuwa tunakwambia wewe beef lenu wekeni pembeni kwa manufaa ya nchi.unaona sasa mavitu ya muntari?

Hapo nd'o unaona experience over flair...afadhali Ayew aketi benchi tu maana ba'mdogo anapenda chenga kweli.

Wakirudi second half watie cha pili kisha ngoma itakua imetulia. Bao moja is too close for comfort...tumeona Brazil asubuhi walivyochemka.Keeping my fingers crossed.
 
Back
Top Bottom