Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
nakubaliana na wewe mkuu, ngoma imekuwa ngumu n'jomba!Duuh noma sana ,bora penati sasa manake naona Ghana kama wameishiwa gesi.
Hujavamia jukwaa kweli wewe??I like football critics..mnaocheza kwenye kusadikika..mkiwaponda wachezaji na kuwakosa ati hawachezi vizuri!
Hivi nyinyi wote hapa mnajua kucheza mpira? si ajabu hata kupiga pasi moja ha muwezi!