Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
wakuu wote msisahau kuaga kuhakikisha kama mko salama popote mlipo.
Yaani hata alivyosimama tu nikajua ni lazima atakosa
Suarez ndio kashinda hii game baada ya kushika .....
Outing yangu ni nimeifuta.acha nilale tu...
tangu WC imeanza leo ndio nimeumia moyo kwa mara ya kwanza.......unaweza kukosa penati last minute ya extra time.......funga ur into semis.....choker,bottler.....choked it...bottled it.......sijui hata niseme nini.......

Gyan ataijutia maisha ile penati aliyokosa, maana dakika zilishaisha tayari
bora utulie usije ukaenda kunywa pombe kupita kiwango kwa hasira,hii inauma kushinda wale wengine wote.
Nafikiri hii itamuathiri sana and Ghana will never had the Opportunity like this in the near future
Pole bibie. Yaani sijui kama hata usingizi utakuja mapema. Maumivu kwa sana
dah! ushamjulisha jamaa? au ulikuwa unaenda kivyako tu? pole dadaake. mimi hasira zangu kesho asubuhi sikogi bana. heheheheOuting yangu ni nimeifuta.acha nilale tu...