Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
wakuu wote msisahau kuaga kuhakikisha kama mko salama popote mlipo.
Inauma kweli aisee..lakini eniwei mpira hudunda.
Kocha kakosea kumpa Mensah penanti na yule ba mdogo. Body language ya Mensah ilionyesha wazi
kua atakosa..everybody knew it.
Haya basi tukatafute nazi tukakune...damn!!!