What Mchungaji has learnt from African teams in WC 2010? A lot of raw talent, lack of confidence, too much of showing off and low ability to be objective to win from get go.
Nigeria, Algeria, Ghana and Ivory Coast were the strongest, lakini chenga nyingi na kucheza kama wanaombea ahati washinde.
Kama ni kicha wa any of African teams, nitawaambia waangalie mechi zote za Ujerumani na Argentina kwenye hii WC, hata waangalie South Korea, Japan, Mexico na Uruguay.
KUna kujituma kwa nguvu, kucheza kama timu, kuelewa wappi wawepo mpira ukifika na hakuna makeke na mchecheto wa pasi au kufunga.
Ghana has better chance maan ani timu changa, lakini wakiingiliwa na African Ego, they will never go anywhere!
Je Tanzania tunaweza kuanza kujifua sasa na kuunda timu ya kuttuwakilisha 2014? au tutaendelea kupoteza fedha na kufanya majaribu?