World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Wakuu ngoja na mimi niutafute tu usingizi sasa. Afadhali nilikula mapema kabla mpira haujaisha maana hata hamu ya kula ingetoweka kabisa
 
Wakuu ngoja na mimi niutafute tu usingizi sasa. Afadhali nilikula mapema kabla mpira haujaisha maana hata hamu ya kula ingetoweka kabisa

Ulale unono mkuu, tomorrow is another day.
 
Wakuu ngoja na mimi niutafute tu usingizi sasa. Afadhali nilikula mapema kabla mpira haujaisha maana hata hamu ya kula ingetoweka kabisa

Hahahah mzee wewe balaa ni ile chakula ya wakubwa usiku ama chakula ipi?
 
nuksi kupita kiasi..naweza kuanguka barabarani bure ila yote tis hongera kwa Ghana walipofika!

BJ walikuwa na so many opportunities ya kufika mbali zaidi ya walipofika lakini uzembe na maamuzi yasiyo na busara yametucost Waafrika wote.
 
dah! ushamjulisha jamaa? au ulikuwa unaenda kivyako tu? pole dadaake. mimi hasira zangu kesho asubuhi sikogi bana. hehehehe

Nimetex tu kuwa 'outing cancelled'..nasubiria vagi lake kesho mana atavuvuzela mpaka nikome au tuchuniane wiki kisa Ghana..mie hasira zangu kesho namalizia shopping till I drop..
 
Homeboy, ni chakula cha kawaida tu, tena nimekula ugali na sato.

Mie najaribu kujibaraguzabaraguza hapa lakini kichwa na moyo vyote havitaki, yaani ni huzuni kubwa sana hasa ukitilia maanani there were so many opportunities to win that game.

What Mchungaji has learnt from African teams in WC 2010? A lot of raw talent, lack of confidence, too much of showing off and low ability to be objective to win from get go.

Nigeria, Algeria, Ghana and Ivory Coast were the strongest, lakini chenga nyingi na kucheza kama wanaombea ahati washinde.

Kama ni kicha wa any of African teams, nitawaambia waangalie mechi zote za Ujerumani na Argentina kwenye hii WC, hata waangalie South Korea, Japan, Mexico na Uruguay.

KUna kujituma kwa nguvu, kucheza kama timu, kuelewa wappi wawepo mpira ukifika na hakuna makeke na mchecheto wa pasi au kufunga.

Ghana has better chance maan ani timu changa, lakini wakiingiliwa na African Ego, they will never go anywhere!

Je Tanzania tunaweza kuanza kujifua sasa na kuunda timu ya kuttuwakilisha 2014? au tutaendelea kupoteza fedha na kufanya majaribu?
 
meza vidonge vya usingizi la sivyo utakuwa unaamka kila saa kushangilia penati yake kapata ukistuka kitu "ndoto".

hivi kama mimi najisikia hivi vipi wachezaji wa Ghana kama Asamoah?!..ushabiki ni noma..angalau mechi ya jioni nilifurahi vinginevyo ningekuwa na dripu..nitameza hizo piriton nilale unono vinginevyo nitakesha nasikitika tu!
 
Mie najaribu kujibaraguzabaraguza hapa lakini kichwa na moyo vyote havitaki, yaani ni huzuni kubwa sana hasa ukitilia maanani there were so many opportunities to win that game.

Kabisa. Yaani Uruguay walikuwa wanafungika kabisa. Naona vijana kweli huenda walipata nuksi ya kwenye Casino maana kuna mkuu hapa kasema vijana wameshinda Casino hadi saa saba usiku.
 
Back
Top Bottom