World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

hata brazil successful soka kuliko holland,au real madrid successful ulaya ila kwa barca ni weupe siku hizi,viva spain hata kwenye euro germany alichapwa,na kama unakumbuka alifungwa na croatia ktk makundi germany,yani germany kuna nchi zingine akicheza nazo lazima alale eg serbia,croatia na bosnia,kama brazil kwa france au norway,wewe weka jiwe,mimi naweka hata kilo germany nje kwa spain,kesho moses mabhida hapo durban.
 
kesho saa 3 na nusu ktk uwanja wa moses mabhida(uwanja mbaya tulipoteza mechi ya kwanza spain)jijini durban au ethekwini,wanafainali wa euro 2008,mabingwa wa euro 2008 spain wanacheza na germany,refa ni viktor kassai toka hungary
kikosi cha spain ni
iker casillas
sergio ramos
joan capdevilla
gerard pique
carles puyol
sergio busquets
andres iniesta
xavi hernandez
xabi alonso
fernando torres
david villa
viva espana,vicente del bosque kocha bora mwenye mafanikio na asiependa makuu,in him and spain i trust!
 
WOZA mana yake ni world cup South Africa,unajua south afrika wanatumia za kama kifupi chao,mfano tanzania tz,wao ni 'za' yani zuid africa

Halafu wakin Hando&Kibonde na Clouds yao wanadanganya watu ati za inatokana na neno Azania....ni Zuid Afrika mkuu...in Afrikaans....hakuna 'c'
 
nimeelewa kwa sasa , asanteni waungwana
Lineno lilinitesa, jibu limepatikana
naona hamjanitosa, mmenipatia maana
kwa kweli humu jamvini, yote yanawezekana
 
Watupu tulikuwa wengi nami nimejisalimisha
Maisha yalikuwa magumu niliposhindwa kuelewa maanisho
Wadau wa JF kimasomaso wamenipukutisha
Sasa nadunda kwa maringo nikiwa nimeelimishwa
WOZA maana yake nimeinyaka pasipo mashaka
 
There is this simple logic which entails that German is going to pick the world cup this year. Kama kuna sheik yahya mwingine tofauti na mimi basi anipinge sasa.

Fact 1. Brazil won the World Cup in 1994. Before that they had also won it in 1970. Add these two years and you get 3964 (1994+1970 = 3964).

Fact 2. Argentina won its last World Cup in 1986. Before that they had also won it in 1978. Add these two years and you get 3964 (1986+1978 = 3964).

Fact 3. Germany won its last World Cup in 1990. Before that they had also won it in 1974. Add these two years and you get 3964 (1990+1974 = 3964).

Fact 4
. Brazil also won its World Cup in 2002. Before that they had also won it in 1962. Add these two years and you get 3964 (2002+1962 = 3964).

Conclusion
= This year is 2010 & 3964 - 2010 = 1954. So, country that won in 1954 will win this world cup (2010+1954 = 3964). The country that won in 1954 was Germany. Hence, by this logic of numerology, this World Cup will go to Germany.

Let us wait & see if this logic turns true - interesting. .isn't it..??
 
An octopus famed for his skill at predicting winners of World Cup soccer matches has selected Spain to beat Germany in Wednesday's semifinal. German fans will be hoping this is Paul the octopus' first wrong prediction.

With a 100 percent record in the 2010 World Cup so far, Paul the octopus has a perfect track record at predicting the outcome of Germany's games.

Housed at Sea Life aquarium in Oberhausen, Paul has correctly predicted the four German wins and even the surprise group stage loss to Serbia.

On Tuesday, Paul was once again given the choice of picking food from two different plastic containers lowered into his tank - one decorated with a Spanish flag and one with a German flag. The container which Paul opens first is seen as his prediction.



Paul initially went for the container marked "Spain" before moving around the tank and hovering over the German box. But he quickly headed back to the 'Spaniards' and selected the food from that box.

His selection has been met with groans of discomfort from German football fans.

Although his record has been faultless in the 2010 World Cup, Paul has been wrong before. In the European Championships in 2008, he had an 80 percent record, only getting one match wrong.

That time, he plumped for Germany to beat Spain in the final.

Source: DW News
 
Mie nasubiri fainali ya Germany VS Netherlands ambapo mshindi atakuwa Germany, lakini msisahau kwamba mpira hudunda na bado kunawezekana kabisa kuwepo another big upset katika semi finals au hata the final game.
 

Inawezekana kuna ukweli kuhusu utabiri huu. Ukiangalia video ya Sheikh Yahya Hussein kuhusu nani mshindi inaangukia kwa Spain pia. hebu cheki hii video hapa chini halafu tutumie mfano huu kwa spain na Germany. Utaone Spain inashinda.

YouTube - Kipindi cha Nyota Zenu cha Tarehe 15-3-2010 - Utabiri wa mpira

Ki-a alphabet ( yaani, A=1, B=2, C=3, ......Z=26) na tarehe ya mchezo ni 7 utaona hivi

S = 19
P = 7
A = 1
I
N

versas

G = 7
E = 5
R = 18
M
A
N
Y

Yeye anasema unachukua herufi za kwenye nafasi sawa huku na huku,(yaani kama ni ya kwanza huku na kule pia, ikigoma unaenda inayofuata kwa kujumlisha na ya awali) mpaka upate moja tasa(odd number) na nyingine shufwa (even number). halafu unazijumlisha na tarehe ya mchezo, ile inayokuwa inagawanyika kwa mbili ndiyo mshindi wa mechi.

Mtiririko uko hivi

...........................S ....P ....A ....I ....N ..............G ....E.... R....M..A.N.Y
..........................19................................ ........7...................................Zote hazigawanyiki

add next:............... + 7........................ = 26........ + 5.................... = 12 Zote zinagawanyika

add next:...................+......1.................=.27..............+..18............= 30 Moja inagawanyika

sasa ukiangalia kwa nchi mbili hizi herufi ya tatu ndiyo moja odd na ingine ni shufwa. Kwa kuwa "Spain" , ina 27 na Germany ina 30. ukiziongeza na 7 tarehe ya mchezo unapata 34 for Spain na 37 for Germany. Hivyo 34 inagawika kwa mbili na kuwa kuonesha Spain ni mshindi

Hahahahahaha, nimemaliza. Kesho inajirudia Euro 2008 kwikwikwikwi!!!!!
 
ITS GAME ON and my cards are for Wadachi... nimeshawachukia sana uruguay na hasa yule suarez, alimsababishia red card kipa wa sauzi na juzi akawa golikipa wa ziada

MAY JUSTICE BE SERVED TODAY!!
 
yani hapa dar wengi ni wadachi... naona machungu ya asamoah gyan yako juu
 
hamna hata timu moja hapa ninayoipenda,ila kwa sababu ya SUAREZ "the cheater" leo nitafurahi sana URUGUAY wakifungwa......
 
nyie acheni tu, yaani hapa naangalia mpira na hasira kwa uruguay utafikiri wameniibia nauli
 

Jacob Zuma, Head of State, hana kazi za kufanya zaidi ya kwenda mipirani ovyo ovyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…