World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

fifa wamemtaja Wesley Sneijder kama mfungaji wa magoli mawili
ya netherlands wakati wa mechi yao dhidi ya brazil. sababu waliyoitoa
ni kwamba japokuwa melo aliugusa ule mpira wa kichwa (goli la kwanza
la netherlands) mguso huo haukubadili mwelekeo wa mpira. kwa maneno mengine
hata bila kile kichwa ule mpira ulikuwa uwe goli tu.

swali ninalojiuliza, hivi hii hoja ya fifa haiwezitumika kwenye mechi ya ghana
na uruguay? kwa sababu ule mkono wa suarez usingetumika lile lilikuwa goli
dhahiri.

sasa hivi uruguay suarez ni shujaa na ule mkono wanauita "mkono wa mungu" :-(
 
yani pele gwiji wa soka akitabiri tu basi ni kasoro,alitabiri ghana itabeba kombe ilipoingia robo fainali kwa kuwafunga wanyamwezi USA,mimi naomba aseme spain haiwezi kuwa bingwa mana akitabiri tutakuwa mabingwa sisi spain basi tutafungwa tu kha! somo la utabiri kwake zero huyu pele.
 
ujerumani weupe tu kwa spain msibabaike kisa wamewafunga argentina,mtaona mambo ya barca 4 bayern 0,au marudio ya euro 2008,ujerumani hamna kitu kwa nchi zifuatazo yugoslavia yote yani croatia,serbia,bosnia herzagovina halafu kwa spain,hawana rekodi ya kuwafunga spain,yani tumewapita paraguay basi kombe linabebwa na kipa bora iker casillas,spain inatisha jamani msiwaangilie kiwoga,daima spain timu ndogo ndio zinamsumbua,huyo klose atafunikwa ozil,podolski,lahm,scheisteiger sijui wote hawatoonekana.
 
We shall see!
 
Nini maana ya WOZA, naomba kuulizia
Neno linanitatiza, kila nikifiria
Wale nilowauliza, jibu hawakunipatia
Nipeni maana yake, wale mnaofahamu.

Nilimwuliza ayubu, jibu hakunipatia
Akajifanya ni bubu, nilipomfuatilia
Nasemwa sina adabu, swali nikiulizia
Nipeni maana yake, wale mnaofahamu

Kwangu hili neno geni, nawaambia ukweli,
Maana yake ni nini, lijibuni langu swali
Msiingie mitini, nipeni jibu la kweli
Nipeni maana yake, kwa wale mnaofahamu

Hapa tamati nafika, mbele ninaona giza
Mwenzenu mi nimechoka, mambo yamenitatiza
kuendelea nataka, moyo unanikataza
Nipeni maana yake, kwa wale mnaofahamu
 
hiyo Penalty aliyoikosa ndio ilikuwa Muhimu kuliko hizo alizopatia...riziki haikuwa yetu jameni,
 
Umenikumbusha maisha ya shule....Ushairi.......................Sasa unatka ujibiwe maana ya Woza kwa shairi au nami nikupe akapela??????
 
anayekujibu wewe, na mie anijuzie
waka waka ya yenyewe, nayo asipuuzie
afafanue nijuwe, shida anipunguzie
Waka waka kwenye WOZA, maana yake ni nini?
 
WOZA mana yake ni world cup South Africa,unajua south afrika wanatumia za kama kifupi chao,mfano tanzania tz,wao ni 'za' yani zuid africa
 
Hizi penati ndio zilikuwa zinampa ujiko Zinedine Zidane
 
ujerumani weupe tu kwa spain msibabaike kisa wamewafunga argentina,mtaona mambo ya barca 4 bayern 0,au marudio ya euro 2008,ujerumani hamna kitu kwa nchi zifuatazo yugoslavia yote yani croatia,serbia,bosnia herzagovina halafu kwa spain,hawana rekodi ya kuwafunga spain,yani tumewapita paraguay basi kombe linabebwa na kipa bora iker casillas,spain inatisha jamani msiwaangilie kiwoga,daima spain timu ndogo ndio zinamsumbua,huyo klose atafunikwa ozil,podolski,lahm,scheisteiger sijui wote hawatoonekana.

Mkubwa kwenye soka GERMANY is THE MOST SUCCESFULL country in Europe
 
swali ninalojiuliza, hivi hii hoja ya fifa haiwezitumika kwenye mechi ya ghana
na uruguay? kwa sababu ule mkono wa suarez usingetumika lile lilikuwa goli
dhahiri.

sasa hivi uruguay suarez ni shujaa na ule mkono wanauita "mkono wa mungu" :-(
Ghana2.jpg

Horrible ending for Ghana!!
Still in my Memory....Leo naomba jamaa watolewe na Wadatch!!
 
Ghana gives Black Stars heroes' welcome after World Cup

Page last updated at 10:31 GMT, Tuesday, 6 July 2010 11:31 UK
BBC Sports News

Thousands of dancing and singing fans welcomed the players

Ghana's national football team has arrived back home from the World Cup in South Africa to a rapturous welcome.
Thousands of dancing and singing fans welcomed the players - known as the Black Stars - at Accra's airport.
"You've really held high the flag of Ghana and the entire African continent," Deputy Sports Minister Nii Nortey Duah told the players.
The team is due to parade through Accra, to be followed by a free music concert in their honour on Tuesday.
Ghana, the only African team to progress beyond the group stage, went out to Uruguay in the quarter-final.
It is the first time the World Cup has been played in Africa, and many had hoped an African squad would progress to the semi-finals.
At the scene

Continue reading the main story David Amanor,
BBC News, Accra

Several hundred fans cheered as Ghana's Black Stars players walked up a red carpet laid on the tarmac from their scheduled flight from South Africa.
They were also formally greeted by a welcoming party of ministers, deputy ministers and football officials. With music, whistles and vuvuzelas blaring, it was a very joyous and celebratory occasion.
Ghana captain Stephen Appiah took the microphone and said: "I'm not a prophet, but definitely we're going to qualify for 2014... we're going to Brazil to be major contenders."
His attitude and the positive vibrations from the fans make up for the blues most Ghanaians have been feeling since their last-minute defeat to Uruguay on Friday. And each player got his own cheer from the crowds as they stepped aboard their coach to leave the airport.
African viewpoint: Black Star blues
Ghana were drawing 1-1 with Uruguay when in the final moments of extra time striker Asamoah Gyan missed a penalty kick awarded after Uruguay's Luis Suarez blocked a goal-bound shot with his hand.
The Black Stars then lost to the South Americans in a penalty shoot-out.
There were spontaneous shouts of joy at Accra's airport as the plane with the Black Stars landed late on Monday evening.
Football fans, many of whom had started arriving hours before the team's expected arrival, waved Ghana's national flags and blasted vuvuzelas to greet their heroes in a carnival atmosphere.
"The Stars fought gallantly, not only making Ghana proud, but the entire African continent," teacher Felicia Acheampong was quoted as saying by Reuters.
Ghana's captain Stephen Appiah said: "We did our best but luck was not on our side but we'll go to Brazil in 2014 to be major contenders."
The BBC's David Amanor in Accra said the Black Stars' street procession will end at the president's office, known as The Castle, where John Atta Mills is due to receive the players.
Earlier President Atta Mills urged Ghanaians not to "nail" the players despite their disappointment at the controversial loss.
"We should rather continue to support them and show appreciation for what they have achieved," he said.
"In Friday's match, there was going to be only one winner and unfortunately, it was not the Black Stars."
'Dream come true'
On Sunday, crowds gathered to cheer the team as they toured Johannesburg.
_48253511_009734288-1.jpg

The Black Stars met former South African President Nelson Mandela
On Saturday, the team met Nelson Mandela's ex-wife Winnie Madikizela-Mandela in Soweto, before visiting Mr Mandela at his home in Johannesburg.
"They represented the continent well and although they did not qualify for the semi-finals they can return home with their heads held high," said Mr Mandela's office after the meeting.
Leaving his house, the players described meeting the Nobel laureate.
"I am very happy to meet a great man like President Mandela. I was there with him, shaking his hand. I'm so happy to meet him face to face," said goalkeeper Richard Kingson.
Kevin-Prince Boateng said: "It's a dream come true, you know. It is very, very good for us. We feel more happy and feel good that we have met this man. He is a legend."
 
Back
Top Bottom