Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Penati za mwaka huu zina mgomo baridi
Spain are overated hakuna kitu hapo labda kocha angekuwa Pep Guardiolahttp://en.wikipedia.org/wiki/Josep_Guardiola
Mkuu inaelekea hakuna anayetaka kwenda Semi finals.
Kwaherini South America Lol
Huyu bwana kama kawaida yetu, hakutulia wala kutumia akili alipokuwa anapiga ile penalti. Kilichokuwa mbele yake ni u stardom na confidence iliyopitiliza. As usual, same problem with what experts call mental strenght. When it comes to penalt shoot outs, one has to be himself, cool and focused. The brain should be there and not only the phisique....Once again, tufikirie vizuri namna bora ya kuendeleza our mental state when dealing with serious issues. We never take them seriously and all that is happening around, to me we deserve every bit of it.
Hakuna suala la bahati wala bahati mbaya. Ni upuuzi wetu tu
Halafu kocha wa Spain pamoja na kushinda yeye kanuna tu. Au hajafurahia timu yake kushinda?
Hata alipokuwa Real madrid alikuwa hivyo hivyo, huwa anacheka mchezaji anapokosea, magoli huwa hashangilii kwanza ndiyo anageukia pembeni au nyuma.
haya spain wanaume wakijerumani wanawasubiri,kwa sasa hongereni............
Spain 1- paraguay 0
Dreaming?