World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hatutamsahau bwana Suarez 'The Cheater' kwa kuinyang'anya Afrika tonge mdomoni.

Wenye data waziweke hapa lakini nimebaini characters za asili za watu nazo huchangia sana kwenye soka!

Waamerika kusini wanaonekana ni watu wa kucheat cheat sana ili wapate mafanikio. Ukarimu wetu unatuponza sana waafrika kwenye michuano ya mataifa mbalimbali
 
drogba kafunga goli 1 ambalo wengi wanasema ni la offside,samahanini lakini wengi wa wapenzi wa chelsea kwa kuongea kauli hii!
 
semeni hivyohivyo spain sio tishio,mnababaika na germany kuwafunga england na argentina bao 4,4 tusiongelea mate,watatafuta mpira kwa tochi wajerumani wakicheza na spain,spain inafungwa na timu ndogondogo vigogo wote ulaya kafunga mechi 35 mfululizo hajafungwa,kapita kwenye group lake kuja bondeni kashinda mechi zote home and away,tusubiri tusiongee sana.

kabla ya kukutana na germany...... spain anatakiwa kushinda kwanza in the next 120mins..........
 
UPDATES:

1min: Paraguay 0 - 0 Spain
64min: Paraguay 0 - 0 Spain
Both teams missed penalties, 58th min and 60th min.
74min: Paraguay 0 - 0 Spain
80min: Paraguay 0 - 0 Spain
83min: Paraguay 0 - 1 Spain (Villa)

FULL TIME... Spain Qualifies by beating Paraguay 1 - 0

=============

Haya EURO CHAMPS SPAIN wanajaribu kwa mara ya kwanza kuingia semi-final dhidi ya PARAGUAY,je nini kitatokea??

TEAMS:
SPAIN:cassillas ramos,pique,puyol,capdevilla busquet,iniesta,alonso,xavi villa,torres

PARAGUAY:villar veron,alcaraz,da silver,morel,caseres,santana,bareto,riveroz,valdes,cardozo
 
kama kawaida yangu,im down wit underdogs.....PARAGUAY...........
 
Kudadadeki hakuna cha mess wala nani!
Na hili tatizo ni la kocha kushinda kuchezesha team yenye starz wengi.
Kuna kocha alisema kabla ya hata mashindano kuanza wakati Maradona was already started opening his big mouth kwamba kuwa mchezaji bora hakufanyi uwe kocha bora same applied to the big mouth Maradona.
By the way I'm happy ,hii inatia moyo nchi zingine kuwa wakikazana wanaweza sio kila miaka Brazil,argentina......
 
......Paraguay watakula kichapo tu leo, nadhani leo ndio mwisho wao.
 
Dah, sikujua kuwa hata huyu mama Anjela naye alikuwa pale uwanjani. Najua checkbob Klintoni alihudhuria mapambano karibu yote ya USA.
Kumbe ku-host world cup ni investment kubwa sana, kwa sabau watu heavyweight kama hawa wanakuja na ujumbe mzito sana ambao hutumia shilingi zao nyingi sana wakiwa nchini.

Inabidi Tanzania tuplani kufanya hivyo pia katika kipindi cha miaka 15 ijayo - tuandae world cup ya mwaka 2026.

Yeah, mama wa watu alikuwepo na alikuwa anasimama kushangilia na kupongezana na wakubwa wenzake pale jukwaani kwa kushikana mikono.
 
Ndahani mbona wewe sio katika wachezaji pale, au hata hiyo timu ya nchi ya nchi yako haimo katika hizo?

Usidharau kazi za wenzio, kwani "mzigo wa mwenzako kwako kanda la usufi". Wanaotazama mpira huwa mahodari zaidi ya wale wachezaji waliopo uwanjani.
Unafikiri nadharau kazi yao? Hata kidogo. Kwanza nilishaacha kushabikia timu za Africa kwasababu najua siyo hawana uwezo, ila hawana seriousness. That is not something to ask...waafrika ndivyo tulivyo. Sio mpira tu, bali ni kila kitu. Tell me what we do serious so that I could join
 
Spain vs Germany itakuwa semi final nzuri sana,hawa paraguay nimeshawachoka nataka mpira uliochangamka .
 
Mimi nafikiri ni kwamba Africa haitamsahau Suarez, kama huyu asingedaka mpira ni wazi lile lingekuwa goal na kulikuwa hakuna haja ya penalty wala nini ambayo ni pressure.

Ila Uruguay kwao huyu ni hero na walimbeba juu juu kuliko hata goalkeeper aliyeokoa mikwaju ya penalty
376,http%3A%2F%2Fa323.yahoofs.com%2Fymg%2Farmchair_pundit%2Farmchair_pundit-579727046-1278111923.jpg%3FymzSAZDDak4lKfOu

Kama ningeweza kutoa thanx 10 ningekupa, yule bwana ni shujaa kule kwao Uruguay haina ubishi kapewa kadi nyekundi lakini taifa limepata mafanikio makubwa kuliko angeogopa red card.

Tukirudi mezani na kuangalia tatizo la timu zetu ni kuwa hatuandaliwi kisaikologia, Yule alishapiga penati hivyo walishamshoma na timu ilijua tu kuwa Ghana hakuna mpugaji lazima yeye atapuga.

Pamoja na yote GHANA wametuweka Afrika JUUUUUUUUUUUUUU
 
Wilting under presha!

Rev inawezekana kabisa. Pengine hata mimi na tatizo hilo hilo. What is needed ni kujifunza namna ya kukabiliana na presha badala ya kukubali kujigalagaza chini ili mambo yaishe.
 
Back
Top Bottom