World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Pole mkuu, maana hicho kichapo si cha kawaida
nimepowa mkuu bila maumivu kwani nilidandia gari lao nikijua nitafaidi mpira wao kumbe ujerumani ndio kaenda kusakata mpira wa maana kushinda wao.

kwa kifupi Argentina walikuwa wamezidiwa kila sehemu.
 
Inasemekana Arsenal wanataka ku-procure huduma za Per Mertasacker.
 
Loading...

BERLIN - JULY 03: German football supporters take a shower prior to the 2010 FIFA World Cup quarter final match between Germany and Argentina at a live public viewing on a large screen monitor at FIFA Fanmeile on July 3, 2010 in Berlin, Germany.
 
German efficiency is amazing to th point I wish Wangeendelea kuwa Wakoloni wetu na si hawa mediocre kina Prince Rooney. Just think of a BMW, Mercedes Benz, Audi, Siemens, and now Kloser following the steps of Kaiser, Gard Muller, Rudi Voller Rumenigge, Matheus....Dang, I will be in Germany for October Fest!

Ni kweli jamaa kwa standards ni wenyewe, hawababaishi katika mambo yao. Just imagine wana sheria kuwa kila bidhaa inayotengenezwa Ujerumani lazima iwe na ubora wa kudumu for a minimum of two year, na si hizi bidhaa za kichina zenye ubora wa kudumu kwa masaa na pengine kukulipukia hapohapo unapoanza kuitumia.
 
Headlines: what a mess for messi and no mercy for messi....... Take ur pick
 
nimepowa mkuu bila maumivu kwani nilidandia gari lao nikijua nitafaidi mpira wao kumbe ujerumani ndio kaenda kusakata mpira wa maana kushinda wao.

kwa kifupi Argentina walikuwa wamezidiwa kila sehemu.

Kuna wakati waliwazidi ball possession Wajerumani, baadaye upepo ukabadilika. Messi kwa chenga ni mwenyewe ila hakuwa na bahati ya kufunga magoli
 
Kilichotokea leo ni kilekile kilichotokea kwene game na England, Ujerumani inatangulia kupata goli, timu pinzani inajaribu kurejesha muda unaenda bila mafanikio, kisha wanapanic wanapigwa kwene counter au moves zisizo na kichwa wala miguu. Strength ya Ujereman so far ni kwene ulinzi na counter attacks.

Mkuu ukiondoa mechi ya Ghana hawa Wajerumani wameshinda goli 4 kila mara (Australia, Engaland, Argentina) mi nadhani soka ni mchezo wa vijana zaidi. Average ya umri wa wachezaji wa Ghana ni 23 na Average ya umri wa wachezaji wa Ujerumani ni 24...
 
Loading...

BERLIN - JULY 03: A German football supporter takes a shower prior to the 2010 FIFA World Cup quarter final match between Germany and Argentina at a live public viewing on a large screen monitor at FIFA Fanmeile on July 3, 2010 in Berlin, Germany.

Hivi hawa hii kitu ya ku-shower kabla ya mechi ndio tunguli lao au!.
 
Loading...

BERLIN - JULY 03: German football supporters take a shower prior to the 2010 FIFA World Cup quarter final match between Germany and Argentina at a live public viewing on a large screen monitor at FIFA Fanmeile on July 3, 2010 in Berlin, Germany.
 
Kuna wakati waliwazidi ball possession Wajerumani, baadaye upepo ukabadilika. Messi kwa chenga ni mwenyewe ila hakuwa na bahati ya kufunga magoli

hata walipowazidi hawaku leta threat yoyote goli kwa ujerumani,anao anao sana wako soft kinoma wakiguswa kidogo wako chini wanamlilia refa.

mechi kama hii diego milito ndio angeona umuhimu wake sema Maradona mbahatishaji ndio maana alitumia wachezaji 100 kutafuta wachezaji 23 anao wahitaji.
 
Watu wanne wamejiua kati ya jana na leo mjini Port au Prince HAITI baada ya timu ya Taifa ya Brazil kutolewa katika kombe la Dunia hapo jana. kuna habari kwamba jumla ya watu wanane wamefariki Nchini Haiti kutokana na ugomvi wa ushabiki kati ya mashabiki wa Brazil na Ajentina. Sijui leo itakuwaje baada ya Ajentina kufungwa magoli manne
 
.......Kombe linaweza kwenda Germany mwaka huuuu.Go Gooooooo Germany!!
 
washabiki wa haina hii huwa nashindwa kuwaelewa kabisa.sijui hawana hule msemo kwao "asiye kubali kushindwa sio mshindani".
 
Kuna tofauti gani kati katika matamshi ya majina ya Muller na Mullah.
 
Back
Top Bottom