FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
duh leo Argentina wametia fola
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimesema pale awali kabisa kwamba leo Maradona atakiona cha mtema kuni, mpaka aukimbie uwanja leo.Kloooserrrrrrrr
Leo nimeamini watanzania hatujui mpira - si wachezaji, si mashabiki. Eti tunaacha kuishangilia timu ya Afrika, tunawashangilia Maradona na Dunga na matokeo yake ndiyo haya - chuma nne bila !
ha h aha ha ha hii kiboko. eanatia aibu argentina.Maradona kapigwa bonge la "shut up fool".
Argentina toka mwanzo pale mbele wanaangaika na style hio hio ambayo haikubali ndio ukitaka kujua maradona zero.
Mkuu, yaani hii kitu ni muhimu kuliko goal-line techies., kama umefuatilia utakua umeona kuwa WC hii wachezaji wengi wa ndani wamekuwa wanadaka mipira inayoelekea NYAVUNI kama MAFISADI vile... kwakweli kadi nyekundu na penati haitoshi maana siku hizi penati haziaminiki tena!.
Inatakiwa FIFA wabadilishe sheria kama mtu akidaka mpira unaoelekea NYAVUNI inabidi goli lihesabike na kama mtu akishika mpira ambao hauelekei NYAVUNI lakini ni ndani ya kumi na-nane basi ndio iwe penati.
Suarez ameweka precedent (unajua kule kwao yeye ndio hero wa mechi ya jana!) na kama hii kitu haitafanyiwa kazi basi tusilaumiane mbeleni pale mataifa makubwa yatakapoathirika!
Nilijua Spain ndio watakuwa na njia rahisi kwenda semis kumbe Germany kawa na njia nyepesi kuliko timu yoyote.
mie nashangilia Argentina hapa.
Bila shaka umesahau timu za Afrika zilipokutana na timu kutoka Amerika kusini wa TZ wengi walikuwa upande gani ? Umesahau wapo waliosikitika Ghana kuifunga USA ?mkuu,hapa ni germany vs argentina.....timu gani ya afrika iko hapa........by the way timu ya mwisho ya afrika imetolewa jana na HUJUI MAUMIVU TULIYOPATA.....
Mimi nimesema pale awali kabisa kwamba leo Maradona atakiona cha mtema kuni, mpaka aukimbie uwanja leo.
bila shaka umesahau timu za afrika zilipokutana na timu kutoka amerika kusini wa tz wengi walikuwa upande gani ? Umesahau wapo waliosikitika ghana kuifunga usa ?