1.inawezekana kabisa,mpira hauchezwi uwanjani tu....mkuu bak, ilibaki dakika moja tu utabiri wetu uwe kweli. Nahisi kuna mtu, kama sio ghana wenyewe, alitia mkono! Sooo near, yet soooo far. Ni maumivu matupu:frusty:.
... Now i can watch the remaining wc matches kwa amani bila kupandisha bp wala oilcom. Nyani ngabu, please allow me...mibantu ndivyo tulivyo...!😡 😡 😡 😡...na kwa msisitizo zaidi..😡 😡 😡 😡 😡 😡 !
2.ingekuwa yanga na simba halafu mchezaji acheze vile tungesemaje?.......kauza timu na bakora ni must.
3.hata hivyo nilichoona mimi ni kuwa wachezaji walikata tamaa kabisa baada ya kuzuiwa kwa mkono goli lao,kila mtu aliishiwa nguvu na wenye hasira nao wakawa bado zimejaa kifuani,halafu unaambiwa upige penati kwa vyovyote utakosa tu.