World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hakika Ghana wanastahili pongezi kwa hatua waliyofika na hatuwatendei haki kuwalaumu. Lazima tukubali bahati haikuwa yetu Afrika.
 
Paraguay vs Germany itakuwa semi final nzuri maana timu zote zina mchezo tofauti, Paraguay wazuri kushtukiza na kupress
 
Mimi nilisema huko nyuma kwamba leo Wajerumani wanawaondoa Waargentina na kutupunguzia adha ya kuona nyeti za Maradona, maana naamini mshindi wa mechi ya leo ana nafasi kubwa ya kuutwaa ubingwa kuliko timu nyingine yoyote kati ya zilizobaki.

Mkuu MUNGU kweli kaepusha hizo "bidhaa nyeti" kutembezwa hadharani mittani, tena kwa kichapo ambacho hawatasahau
 
duh kweli ng'ombe wa masikini hazai............haya kazi kwao sasa kibao kimegeuka.......
 
haya maamuzi WC hii aibuu....sasa pale kwenye rebound nayo si penati ile???
 
Penati zote mbili na ile ya marudio zimenifurahisha sana: World CUP 2010 South Africa
 
OOH referee amekataa goli la spain pal, any way...la kuvunda halina ubani
 
Back
Top Bottom