Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,763
- 766
Hakika Ghana wanastahili pongezi kwa hatua waliyofika na hatuwatendei haki kuwalaumu. Lazima tukubali bahati haikuwa yetu Afrika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilisema huko nyuma kwamba leo Wajerumani wanawaondoa Waargentina na kutupunguzia adha ya kuona nyeti za Maradona, maana naamini mshindi wa mechi ya leo ana nafasi kubwa ya kuutwaa ubingwa kuliko timu nyingine yoyote kati ya zilizobaki.
Hii match nna wasiwasi Paraguay watalala...Paraguay vs Germany itakuwa semi final nzuri maana timu zote zina mchezo tofauti, Paraguay wazuri kushtukiza na kupress
Hii match nna wasiwasi Paraguay watalala...
Mda umefika sasa wa Fabregas kupewa nafasi.
Dreaming?Spain 1- paraguay 0
Spain 1- paraguay 0
Spain 1- paraguay 0
Duu Spain nao wamekosa tuta.