World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

SPain hamna kitu, kuna hii kaunta Villa alikuwa yupo peke yake huku, wao wanaangalia idadi ya pasi.
 
Huyu Bastian Schweinsteiger ni mchezaji muhimu sana kwa ujerumani!
 
c'mon spain.... naona wajerumani wameshaanza ile kitu yao ya hatari

they flow like a gel
 
mie naona link ya torres na villa ni nzuri zaidi wasi wasi wao tu hata kama Torres ajafunga lakini huwa anamsaidia villa kufunga.
 
ujerumani leo wamelazimishwa kukaba tu ndio maana nataka Spain waende fainali hili tu-enjoy free football kati yao na Holland.
 
mkuu hili drafti wanalopiga spain ,bado unasema mechi haisisimui? , imekosa mashambulizi tu kidogo lakini kapeti mpaka sasa ni mswano tu
Sisi tunataka shots on goal, hilo draft hata mazoezini watu hufanya ati!
 
it was a penalty... jamaa aligongwa kwa nyuma mazee
 
Back
Top Bottom