Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Hamna kitu pale, si angelenga hata goli basi?umeuona utosi wa mzee puyol? hili gemu halina mjadala kabisa. mjerumani analazwa ufukweni leo.
Mechi haisisimui..au mzee unaangalia mechi ipi?Nn tena kimekuboa muungwana??
mie nilijua wajerumani ndio wabaguzi zaidi.
mkuu hili drafti wanalopiga spain ,bado unasema mechi haisisimui? , imekosa mashambulizi tu kidogo lakini kapeti mpaka sasa ni mswano tuMechi haisisimui..au mzee unaangalia mechi ipi?
that was a penalty!!!! poor germans
hata kama angetoa ilikuwa nje ya boksi mkuuThats Penalty refariii vipi?
Sisi tunataka shots on goal, hilo draft hata mazoezini watu hufanya ati!mkuu hili drafti wanalopiga spain ,bado unasema mechi haisisimui? , imekosa mashambulizi tu kidogo lakini kapeti mpaka sasa ni mswano tu
Ni kweli Ramos kamgusa Mesut lakini naona kama ingekuwa harsh decision, body language ya mwamuzi baada ya tukio imeonesha kutojiamini.Thats Penalty refariii vipi?
Thats Penalty refariii vipi?
halaf jamaa alikuwa nje ya boksi kabisa, hata kama refa angetoa , ingelikuwa free kick tuangalia replay vizuri jamaa alivyo jiangusha utasema Drogba au ronaldo ha ha ha.