World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

maammamamamazae kweli wamezidi ubinafsi shughuli ilikuwa imekwisha hapa
 
wasipofunga hapo basi tena wajerumani...😛ound:
 
Nishushe pumzi kwanza!..duh!! hivi Ujerumani kiboko yao ni Spaniard nini? mbona hawafungi 4-1 au 4-0 kama mechi za nyuma!!..

Spain make it real!!..ha ha,nasubiri 90 mnts nipige kelele..
 
HUyu dogo Pdro hatakiwi kupangwa tena... he was more for his personal glory kuliko team glory
 
Hii ndio timu ilitoa dozi kwa England na Argentina? Kweli hizo timu mbili zilikuwa zimejichokea mpaka basi lol.
 
Kweli ngoma ya kitoto haikeshi!!!! Yaani leo wajerumani hata zile move zao sizioni??? Duh

Yaani wamekua kama algeria au kameruni!!!
 
Back
Top Bottom