hapa leo tunasukuma siku ifike kesho tu, lakini hasira zangu kwa mruguay bado ku expire. acha uruguay apewe kichapo tu.hivi wewe leo upo wapi??.....nimesahau
kweli mkuu niliidharau nikajua itaboa kumbe tunafaidi.
Suarez mabooo yanamchanganya anataka kulazimisha goli ha ha ha.na washabiki tulivyokuwa tuna nongwa watu wanaweza kumsafirishia boooo hizo mpaka kwenye mechi za klabu lol.
hapa leo tunasukuma siku ifike kesho tu, lakini hasira zangu kwa mruguay bado ku expire. acha uruguay apewe kichapo tu.
hicho kwenye blue ni nini mkuu?
hicho kwenye blue ni nini mkuu?
hehehehe hivi wewe ulifahamu nini?, washabiki wa NORTH KOREA bana!hicho kwenye blue ni nini mkuu?
ha ha ha kumzomea lol
acha wabamizwe tu hawa maSUAREZ.
mpira mzuri sana.
mmmh...hii mechi ilihitaji ushauri wa octopus paulo