World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

haya wakuu mie nachomoka tutakutana kesho hapo city soccer mda kama huu wa hollad watakuwa wamejishika mikono kusubiri kushangilia ubingwa wao.

na octopus anapigwa mnada siku hio hio kwa kufanya utabiri mbovu kwenye mechi muhimu lol.
hehehe tuonane kesho mkuu. hakikisha laptopu unaijaza chaji. hatutaki excuses.
 
Kama ghana vile....last minute shot hit the crossbar.........uruguays go home with no medal.........
 
Haimaye Suarez kalala. Saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafi saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
 
kwavile kesho tupo upande mmoja acha nikuage kwa kiingredha . bye thwiiti . mithh you tuu.

bai bai...kesho nina kibarua kigumu kidogo...natakiwa nitunuku tuzo spain ikishinda....mbona nitajiju
 
_48317324_009780327-1.jpg



 
Louis Suarez alikuwa wapi kudaka goli la tatu la wajerumani? Yule ni kipa mzuri kuliko the Fat Almunia!
 

European duo Holland and Spain are hoping to end an 80-year wait for World Cup glory in Johannesburg.

Wakuu siku yaleo muhimu kwa washabiki wa soka duniani na uzuri wa siku kama ya leo ni mashabiki kutambiana kabla ya mechi.Niweke kijukwaa hiki hili tutambiane kwanza kabla mtanange wenyewe ujaanza.
 
Back
Top Bottom