World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Football fans have flocked to television screens, big and small, to catch all the action at the FIFA 2010 World Cup in South Africa.
 
ahhhhh! Kusubiri utamu wa World Cup kwa miaka mingine minne ni muda mrefu, kuna haja ya hii duration kupunguzwa na kuwa miaka miwili.
 
Mwali kapendeza kama kawaida yake, anameremeta.
 
ahhhhh! Kusubiri utamu wa World Cup kwa miaka mingine minne ni muda mrefu, kuna haja ya hii duration kupunguzwa na kuwa miaka miwili.
Hahahahaha... kuna jamaa yangu alikuwa analalamika vilevile! Basi inabidi FIFA waangalie nini kifanyike, ila mchakato ni mrefu sana mkuu, miaka minne ni reasonable
 
wale washabiki wa udachi wanashauriwa kuwa na pain killer pembeni. kuna maumivu makali yanakaribia.
:first: For SPAIN.
 
World Cup final photos

Spain, on the other hand, are unchanged from the XI that beat Germany in the semi-finals - meaning there is no place in the starting line-up again for star striker Fernando Torres, who is rumoured to be injured
 
Soon enough, though, attention turns to football matters in Johannesburg - and the Netherlands, featuring the recalled Nigel de Jong and Greogry van der Wiel, are the first out and about to sample the atmosphere
 
wale washabiki wa udachi wanashauriwa kuwa na pain killer pembeni. kuna maumivu makali yanakaribia.
:first: For SPAIN.

mi na UNDERDOGS TU......kwa maoni yangu ORANGE leo ni underdogs.....
 
wale washabiki wa udachi wanashauriwa kuwa na pain killer pembeni. kuna maumivu makali yanakaribia.
:first: For SPAIN.

kama unafikiri nimeingia mitini hapana mkuu,kilicho nichelewesha ni maandalizi ya kushangilia ubingwa wa Hollad baada mechi ha ha ha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…