Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
CODE ORANGE CODE ORANGE CODE ORANGE ,japo tumeanza kwa kushambuliwa shambuliwa kiaina lol tutafika tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado tambarare lakini bol posession ni SPAIN 99.5% - HOLLAND 0.5% mpaka sasa.he he nini kinajiri...leo mimi naangalia CCM
Duh, afadhali kumbe tupo wengi ha ha hakama upo upande wa SPAIN hakuna kazi mkuu! relax !:ranger:
hakikisha unaaga kabla ku log out ghafla bila taarifa. he he hekama unafikiri nimeingia mitini hapana mkuu,kilicho nichelewesha ni maandalizi ya kushangilia ubingwa wa Hollad baada mechi ha ha ha.
mara ya mwisho makocha wa spain na holland,yani vicente del bosque na bert van marwijk walipokutana ilikuwa ktk super cup,kocha wa spain akiwa na real madrid wakati kocha wa holland alikuwa na feyenoord ya uholanzi,na matokeo real madrid walishinda 3-1,kwahiyo rekodi inawabeba zaidi spain achilia mbali pweza,pia toka mwaka 1994 mpaka 2006 ktk world cup yule anaemfunga mshindi wa 3 ktk nusu final anakuwa bingwa hivyo mshindi wa 3 ni germany,kwahiyo spain ana nafasi kubwa ya kuwa bingwa leo.
Poleni ambao mmeathirika na CCM kununua vituo vya televisheni, ndiyo gharama wanayolipa wananchi. Inaudhi sana!
mkuu, fabregas anamudu zaidi play maker (attacking mido) na usisahau pana iniesta na xavi pale, (mimi niko pamoja na kocha, kijana inabidi apate joto la benchi tu)hivi inakuwaje FABREGAS anakosa namba na vitoto kama SERGIO BUSQUET na PEDRO wanazungusha????
Poleni ambao mmeathirika na CCM kununua vituo vya televisheni, ndiyo gharama wanayolipa wananchi. Inaudhi sana!
asante sana mkuu...hali niliyo nayo hapa ni mbaya mno
bado tambarare lakini bol posession ni SPAIN 99.5% - HOLLAND 0.5% mpaka sasa.
Webb analeta beef za EPL huku,rafu gani hile ya kutoa yellow fainali kubwa kama hii.
CCM inawawekea watu usiku namna gani hii!.CCM wameamua kutukosesha mpira leo😡
mimi nilizani uko sauzi bana! hapa niko jukwaa moja na SHAKIRA. hehehe anawasalimia JF nyoteasante sana naona ndio mkutano unaisha isha....I hate politics.....
Pole sana Preta mimi leo najitolea kukuliwaza na kukupa Update ikibidi hata kwa PM ili mi CCM mingine isijue iumie zaidi! So far 0-0 dkk 19
duuh mgombea mwenza nani kamchagua?he he nini kinajiri...leo mimi naangalia CCM
DO NOT hate the game, hate the player!asante sana naona ndio mkutano unaisha isha....I hate politics.....