World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

CODE ORANGE CODE ORANGE CODE ORANGE ,japo tumeanza kwa kushambuliwa shambuliwa kiaina lol tutafika tu.
 
hivi inakuwaje FABREGAS anakosa namba na vitoto kama SERGIO BUSQUET na PEDRO wanazungusha????
 
Poleni ambao mmeathirika na CCM kununua vituo vya televisheni, ndiyo gharama wanayolipa wananchi. Inaudhi sana!
 
mara ya mwisho makocha wa spain na holland,yani vicente del bosque na bert van marwijk walipokutana ilikuwa ktk super cup,kocha wa spain akiwa na real madrid wakati kocha wa holland alikuwa na feyenoord ya uholanzi,na matokeo real madrid walishinda 3-1,kwahiyo rekodi inawabeba zaidi spain achilia mbali pweza,pia toka mwaka 1994 mpaka 2006 ktk world cup yule anaemfunga mshindi wa 3 ktk nusu final anakuwa bingwa hivyo mshindi wa 3 ni germany,kwahiyo spain ana nafasi kubwa ya kuwa bingwa leo.

LAKINI KUMBUKA...Hakuna timu iliyowahi kufungwa mechi ya kwanza na kisha ikachukua kombe la dunia.
 
hivi inakuwaje FABREGAS anakosa namba na vitoto kama SERGIO BUSQUET na PEDRO wanazungusha????
mkuu, fabregas anamudu zaidi play maker (attacking mido) na usisahau pana iniesta na xavi pale, (mimi niko pamoja na kocha, kijana inabidi apate joto la benchi tu)
 
asante sana mkuu...hali niliyo nayo hapa ni mbaya mno

Pole sana Preta mimi leo najitolea kukuliwaza na kukupa Update ikibidi hata kwa PM ili mi CCM mingine isijue iumie zaidi! So far 0-0 dkk 19
 
Back
Top Bottom