Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
OMG hii robben inafanya nini?
ilibakia kiduchu tuanze kulia...dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OMG hii robben inafanya nini?
pweza limefanya vitu vyake. PWEZA LISIFIWE!ilibakia kiduchu tuanze kulia...dah
Sipendi waongeze muda coz I would like to Sleep
kalale tu nitakusimulia kesho jinsi Spain walivyochukua kombe
pweza limefanya vitu vyake. PWEZA LISIFIWE!
Wako wengi humu watakusikiaVan Persie ni mzigo tu uwanjani
dah mzee WENGER wa JF akiona hii anaweza akakuweka kwenye ignore list. heheheVan Persie ni mzigo tu uwanjani
Van Persie ni mzigo tu uwanjani
Robben kukosa nafasi kama hile sasa hili li pweza lenu linaweza kuwa linatumia nguvu za giza ha ha ha.linaanza kunitisha nomaa.
anasaidia kuwavuta mabeki akipata mpira ana hold vizuri na hio inasaidia kumfungulia nafasi robben.
litakuwa limebana miguu...lile dudu bana...balaa