Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
ramos aaaaaaaaaaaarghhh
Refa kama amepanic hv
Refa muache fabregas bench unataka kumpa kichwa pweza bila sababu lol.
Refa muache fabregas bench unataka kumpa kichwa pweza bila sababu lol.
Nahitaji timu ifunge nikalale bana
Ngumuwe si nshakwambia uende nitakusimulia kesho?
Kweli Ukipenda Chongo Huita Kengeza, sasa hapo Refa anahusika vipi na kuingia kwa Fabregas