ha ha ha kuchanganyikiwa mkuu noma,wala sijaona nilijua nimeandika kocha lool.asante kwa kuona.
sasa itakuwaje?
Game ya Jana ilikuwa Kabambe sanaBora nimeangalia game la jana la Uruguay vs Germany limenitoa lilikuwa kali,hili la leo limeboa .over time bila sababu.
pa1 mkuu, lile soka la jana lilipaswa kuwa fainali. lilichangamka sana. leo referee anaalika harusi tu (kadi kibao)Bora nimeangalia game la jana la Uruguay vs Germany limenitoa lilikuwa kali,hili la leo limeboa .over time bila sababu.
Mkuu Yaani unaweza kuwageuka Netherland kwa Sababu Fabregas ameingai LoL!