World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Why is Ghanaina coach dismissing his assistants from hugging him celebrating the victory?

because he is Serbian. The Ghanaian coach is from Serbia. I wonder how he feels.
 
because he is Serbian. The Ghanaian coach is from Serbia. I wonder how he feels.

Ingekuwa mitaa ya ujubani kule,siku akienda likizo ni bakora tu,labda kwa wenzetu inaweza isitokee.
 
MKuu....Masahihisho kidogo kwenye hiyo picha ya kati.......Huyo si S. Muntari....Huyo ni K. Asamoah.....Muntari hajacheza kabisa leo.....Asante kwa mapicha mkuu

Thnx mkuu for the correction maana niliibeba hivyo hivyo kutoka yahoo photos.
Nimerekebisha.
 
Today nilikuwaproud kwamba Ghana sasa imetuwakilisha Afrika, although they missed many opportunities. I was proud. Hongera Ghana, Hongera Afrika!
 



Wakuu,

Baada ya kufurahia ushindi wa Ghana, zimebaki dakika kumi hii mechi nyengine kuanza.
Ikiwa draw poa tu for The Mighty Blackstars.

Karibuni Jamvini wadau.
 
watu wengi wamewasahau hawa jamaa......huwa wana-qualify kwa shida lakini perfomance yao kwenye mashindano ni kiboko......hawa GERMAN ukizungumzia efficiency hapa ndio kwake.........
 
Thanks Ghana for demolishing Serbia, Algeria not impressing in the opener.
 
Nadhani hii ni mechi rahisi kwa Ujerumani, wanaweza kabisa kumbugiza mtu goli tatu bila au hata zaidi.
 
tuwaone sasa ma-underdogs ujerumani manake jamaa watu huwa wanawasahau matokeo yake unakuta wamefika mbali.
 
Mashabiki wa Australia haooooo!




na Ujerumani nao hawajaachwa nyuma...


 
Mnawaona Ujerumani wanavyotishia amani!!!

Goooaaaallllll!!!!!!!!!!...dakika ya 7.

mfungaji....Podolski.
 
Germany Efficiency...........................
 
hii ni WC.....kwa kweli marefa/linesmen ni WAZURI SANA....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…