World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

German ana woga na Brazil tu duniani. Sijui kwa nini hawataki kubadili hiyo imani.

Ni sawa na Real Madrid akikutana na Lion au Manchester United akikutana na Bayern Munich, MU huwa wanalia tu. (walibahatima mara moja).

Sami Khedira baba yake ni M-Tunisia.

Kwenye benchi kuna Mpolish mwingine anaitwa Piotr Trochowski

Na huyu aliyeingia Marin kazaliwa Bosnia.

Dennis Aogo huyu ni Fanta ya Ki-nigeria.
 
sasa dalili za kuchukuliwa kwa kombe nimeanza kuziona....ila ni mapema mno kusema chochote
 
@Rev... Kapumzishwa bwana cjui ndo mturuki jazz no.. 8,, hatari keshazalisha pass zenye utata golini du! Ana kadi ya njano tayari naona kocha kaona amuhifadhi kwa faida ya badae... Ananikumbusha Diof wa enzi zile WC 2002!... Germany kibokko!
 
Yaani hao Germany wanavyocheza mchezo intense utafikiri hawajafunga goli 4-0

Mnaosema mamluki acheni kuchanganya nationality na ethnicity / descent. Ndiyo maana watu wengine wanawaita wa Deni waTanzania.
 
Hawa Australia warudi kwao tu wakacheze cricket, mpira wa miguu hawauwezi.
 
Boateng yupo siku nyingi sana German akichezea Schalke (The blues).

Preta: German wala timu yoyote ya Ulaya haitashinda WC. FIFA na Umafia wao hawaruhusu kabisaaaa.

Zitashinda timu nje ya Ulaya. Ila kombe linalofuata kwa kuwa litakuwa Ulaya, basi taka usitake, mshindi ni timu ya Ulaya.

Isingelikuwa hivyo basi kwa Ulaya, timu pekee nzuri ambayo inawachapa wote sasa hivi SPAIN.

Ona refa limetoa tena NJANO ya KIJINGA kwa CACAU.
Boateng anachezea Ujerumani. Hii ni habari mpya kwangu!
 

hapa Sikonge umenimix kidogo....ushindi si inategemea na juhudi za timu? kwa nini FIFA wasikubali?
 


Mhhh, Wageruman kwa VIWANJA VYA MPIRA, wanajuwa kuvichora....... Norman Foster ana upinzani kweli hapa.
 
Omega, asante kwa masahihisho. Basi Ulaya watasubiri sana. Labda FIFA waamuwe kuwa sasa hivi wachukue Argentina na linalokuja Brazil na baada ya hapo, si ajabu watapewa UK ili nao washinde maana siku nyingi sana hawajaliona wala kulisogelea.

Preta: FIFA ukitaka kuwafahamu, basi angalia vitu kadhaa:-
1. Milele wanatumia mpira wa ADIDAS bila kujali akina NIKE wanaweza kuwa na mpira mzuri zaidi. Ilikuwa hivyo, ipo na itaendelea kuwa.
2. Maamuzi yao, hakuna anayeweza kuingilia. Ukijadili basi wanakufungia FIFA.
3. Maradona huwa haalikwi na hapendwi kabisa ndani ya FIFA na sababu ni kuwagomea kutoa ushindi mwaka 1990 kwa kuwa mechi ilikuwa Italy (EUROPE), waliishia kumlima NJANO na yule mwingine kugombea mpira, akalimwa RED na Mgeruman kwa kuchelewesha mpira, hakuguswa.
4. Ni mara moja tu Brazil ilishinda Sweden mwaka 1968 na haijawahi kutokea timu ya Ulaya ikashinda nje ya Ulaya.

FIFA ukiwazoea, utagundua kuna vitu huwa vinajirudia.
 
FIFA ukiwazoea, utagundua kuna vitu huwa vinajirudia.

thx Sikonge...sikuwa nayajua haya.....mimi kwangu wakichukua Brasil kila WC sioni vibaya....nawasubiri sana kuwaona wakicheza na wazee wa nyuklia hiyo tar 15 hapo Ellis Park J'Burg...can't wait to see wachumbaz....:behindsofa:
 
Gyan dedicates goal to all Africa






Ghana goal hero Asamoah Gyan said his winning penalty in the 1-0 victory over Serbia was for the whole of Africa.

Gyan smashed home from the spot late on to ensure Ghana got their World Cup campaign off to the ideal start.

The Ghanaians were cheered on by thousands of fans from the host nation South Africa, and Gyan said the strike was not just for his fellow countrymen.

"Every African is behind us. I salute all you guys. We win this match for you," the striker said.

"This is all I have worked for and to be man of the match is fantastic."

Midfielder Stephen Appiah echoed Gyan's thoughts, adding: "This is the first time the World Cup is held in Africa, and all Africa is united."

But Ghana's Serbian coach Milovan Rajevac admitted he had mixed feelings after his side's momentous win.

The victory gives Ghana a glorious chance of progressing from group D.

But Rajevac was sorry to have left Serbia with a tough task to qualify from a daunting first phase which also includes Germany and Australia.

"Of course for me personally in my job this is a great victory but I'm sorry for the Serbian team," he said.

"I know many of their players and I could see how saddened they were but I tried to concentrate on my job and perform my duties in a professional manner.

"Maybe we got lucky, they're a very good team and it's difficult to play against them.

"I hope they get six points in their next two matches."

BBC Sport - Football - Gyan dedicates goal to all Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…