Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
hivi huyu kocha wao ana akili kweli??anamuweka WEBBO centre foward....ETO'O right winger............SONG bench......kateenager sijui kamecheza 3 int.games ndio kameanza.....aaaaargh
Haya mashindano ilibidi MISRI wawepo
Cameroom vibabu wengi,Nchi zingine zenye wachezaji wenye vijapi wengi tu kama hii Cameroon wala hawaitaji makocha kutoka nje.wanachanganya habari tu dogo Song anuwezo hata wa kucheza centre forward kama hamtaki pale midfield.
Song ni spare tyre!duuuh no SONG?
Song ni spare tyre!
siyo song wa miaka ile i bet you! huyu ni crap!kifaa kile atashangaa mwenyewe siku atakayo mpa namba.
Miafrika ndivyo mlivyo....Huyu kocha mzungu anachukua hela ya bure kabisa..Miafrika bana.Mbona wajapan wana kocha wao mjapan ingawa kwenye ranks za FIFA Cam watakuwa juu yao.
tunamzungumzia Song wa arsenal mkuu ,lol unachanganya habari.siyo song wa miaka ile i bet you! huyu ni crap!
Hivi Cameroon walifikaje World Cup in the first place? Nafikiri Tz could do better...