Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Etoo has barely been in the game! WHy why why? He dont seem to play at all...
anahitaji msaada kutoka midfield pale mkuu,sasa kama midfield haipo creative inakuwa vigumu kwake ku-shine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Etoo has barely been in the game! WHy why why? He dont seem to play at all...
Ringobet Song yumo? Siangalii hawa nilijua wataboa
anahitaji msaada kutoka midfield pale mkuu,sasa kama midfield haipo creative inakuwa vigumu kwake ku-shine.
mkuu naomba kijana wako SONG aingie at least mpira utatulia midfield pale..............
umestukia wana muhitaji pale? waambie wakina masanilo waache majungu kwa wachezaji wa Arsenal hawa ndio wanasababisha yote haya.
Teh teh teh teh teh Umemwona Nic na Denmark?
ha ha ha yule katoka injury kocha kamlazimisha kwa vile ndio kifaa chao wanchokitegemea sio.
dogo mzushi sana kuna kipindi kila akienda timu ya taifa anapiga magoli akirudi Arsenal butu,sema Wenger nae alikuwa anamuharibia kumchezesha winger wakati jamaa mkali sana kati pale.
Jamaa wanaudhi hawaaaaaaaaa...again bad defensive decision :angry:
wanafaa wapigwe mboko kabisa!Jamaa wanaudhi hawaaaaaaaaa
kesho wanacheza na Portugal,game ya pili itakuwa sema Drogba injury.Deadly Drog anacheza lini? Kule nako kuna akina Eboue
Deadly Drog anacheza lini? Kule nako kuna akina Eboue
Ivory coast vs portugalkesho vs portugal................
ndo african soccer hilo....hivi huyu kocha wao ana akili kweli??anamuweka WEBBO centre foward....ETO'O right winger............SONG bench......kateenager sijui kamecheza 3 int.games ndio kameanza.....aaaaargh