World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

mmh mpira sijauelewa kabisa adi ss!!
inanitia shaka apa...let me watch
ole wao cameroon😡
 
15mins gone....cameroun hamna kitu......................
 
Cameroon watafanya kweli ingawa gemu bado haijatulia
 
yaani pamoja na ETO'O kwanunulia kila mchezaji saa ya £42,000 bado hata juhudi hamna....c'mon LIONS....................
 
Cameroon no creativity at all.

nilitaka niliseme hili,nikareserve my comments
ila sasa naanza ona hapa,vipi vijana wetu mchechee mwingi???
hawatupi raha kabisaa hawa!!
still I hope for afrika huh
 
nilitaka niliseme hili,nikareserve my comments
ila sasa naanza ona hapa,vipi vijana wetu mchechee mwingi???
hawatupi raha kabisaa hawa!!
still I hope for afrika huh

Hawa CRN Wanatakiwa wapigwe bao moja safi ndio vichwa vitatulia, maana naona wana madudu vichwani.
 
Sikumbuki shot on goal wanarukaruka tu kaa mbayuwayu (no offence, teh teh )
 
Back
Top Bottom