Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Big African fools.
Hakuna haja ya kuangalia mechi zao zilizobakia, ni kuumiza macho tu na kukosa extra curricular activities.lol
I see!:roll:tunamzungumzia Song wa arsenal mkuu ,lol unachanganya habari.
Huu utani sasa! Sisi twafungwa hata na Rwanda....
Swadakta!!!! Cameroun does not deserve a point- yo play badly, you loose. Hili ni kombe la dunia, na sio ligi ya Cameroun.Cameroon should consider themselves eliminated, hata wakipata droo is as good as useless.
Unaeza kukuta analipwa mabilioni kama Erikkson, wakati hana mbinu zozote za kubadili mchezo pamoja na kutumia subs zote.hawa makocha wakigeni wana tuangusha sana.
Mechi zilizobaki ni kupoteza muda kuangalia. Wanataka kukaa na mpira wazunguke nao wananyang'anywa kirahisi. Hata midfielders wao wanapokuwa na mpira unaona kabisa kumkaba ni rahisi sana. Passing ovyo, positioning hopeless na kross mkaa za kumwaga. Kwa kifupi kama timu mechi nzima imeshindwa kufanya move mpaka golini at least 10 times ujue hapo hamna timu.Swadakta!!!! Cameroun does not deserve a point- yo play badly, you loose. Hili ni kombe la dunia, na sio ligi ya Cameroun.
Samuel Etto couldn't show what he got...THINGS JUST.... DIDN'T CLICK.Ekotto kapiga game sana.
Kwa wale mnaofikiria kuwa Cameroon ni wazee hebu angalia stats hapo chini.
- Cameroon's starting line-up vs Japan (25 years - 166 days) is the second youngest at the 2010 World Cup.
Source: Eurosport
Hiyo source yako inawalakini
Hawa ni wachezaji wadogo kwenye WC
Top 10 Youngest Players at 2010 World Cup
- Christian ERIKSEN Ajax Denmark 18 years old
- Vincent ABOUBAKAR Coton Sport Cameroon 18 years old
- Chris WOOD West Bromwich Albion New Zealand 18 years old
- Xherdan SHAQIRI Basel Switzerland 18 years old
- Joel MATIP Schalke 04 Cameroon 18 years old
- Lukman HARUNA Monaco Nigeria 19 years old
- Jonathan MENSAH Free State Stars Ghana 19 years old
- PAK Sung Hyok Sobaeksu Korea DPR 20 years old
- Rene KRHIN Inter Slovenia 20 years old
- Sotiris NINIS Panathinaikos Greece 20 years old
Mkuu unajua maana ya average age?
Average age ya group B
Group E
Cameroon: 25.2
Denmark: 27.7
Japan: 27.8
Netherlands: 27.7
overlooked thought individual player