World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hiri ni rikundi ra kufwa mtu ,we wacha tu ,Wareno ndio wanaondoka na goli moja ,nakumbushia tu ?
 
Aloo mkuu je tunatazama gemu moja au vp tena?..Hii gemu poa sana amongst all African teams I have watched isipokua Ghana kwa sababu ya ushindi.Also consider the opposition we are facing...usikate tamaa!!!

ivorians wako well organised(typical sven team) ni timu nzuri kulinganisha na nyingine za afrika,lakini gemu iko 50/50...not entertaining kabisa....at last few mins ago imechangamka.
 
Drogba anaingia ndani ya uwanja, wearing a plaster cast.
 
pale mbele naona watu wanaukokota mpira bila sababu wakati kuna mtu katanua pembeni yuko peke yake.
 
hizi free kick mbaya sana wasiruhusu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…