World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hii mechi labda itatupa picha kamili ya nani atakayeweza kuibuka kidedea kwenye haya mashindano.
 
Hii mechi labda itatupa picha kamili ya nani atakayeweza kuibuka kidedea kwenye haya mashindano.

Labda Mkuu....lakini kwa maoni yangu ni mapema mno kuipata picha hiyo katika raundi hii ya kwanza.
 
tuwaone wa brazil sasa wamejiandaa vipi na wanaelewana au weakness za North Korea zitatufanya tushindwe kujua hili kundi linaelekea wapi?
 
Hii mechi labda itatupa picha kamili ya nani atakayeweza kuibuka kidedea kwenye haya mashindano.

ina maana mpaka sasa hujamjua mshindi?.......kuna hili lijamaa la Korea sijui linalia nini
 
nawaonea huruma North korea jamani...mvua ya magoli leo...Mungu saidia s.korea waje kukutana na n.korea ili watu tupate pa kuchekea...
 
Yule jamaa aliyekuwa analia nadhani anaomboleza kwa kipigo kitakachofuatia.
 
Nimempenda mkorea alokuwa analia akiimba wimbo wa taifa 🙂

huyu jamaa anaonyesha ana uchungu sana na nchi yake au ana emotions za kuruhusiwa kutoka S.KOREA kwa mara ya kwanza,jamaa kanifanya niwashangilie S.KOREA mashindano haya......
 
huyu jamaa anaonyesha ana uchungu sana na nchi yake au ana emotions za kuruhusiwa kutoka S.KOREA kwa mara ya kwanza,jamaa kanifanya niwashangilie S.KOREA mashindano haya......
Hawa ni wa North Korea!.
 
Haya SAMBA BOYS ndani ya nyumba......najua wengi tuna hamu ya kuona BRAZIL ikionyesha soka linavyotandazwa,je kutakuwa na kapu la magoli au S.KOREA wataleta surprise of the century??karibuni....
Hawa ni North Korea jamani sio south.....mpira wao hauna mvuto kabisa naona ni yaleyale ya kwetu ya piga piga tu bila mpango....Brazil wanatakiwa washushe kipigo cha nguvu hapa...
 
Hahahaaa @Pretta.. lol analia kaguswa!

Yani mpaka sasa ilitakiwa tuone goli la kwanza toka brazil! Ukiona hivi viko vyema hivi! Mi huwa nawapenda sana waasia..

Tanzania hatuwagusi ng'o! Na they will make wonders someday! Cjui this year last wc walinnifurahisha dont remember was which country from asia but hawa wajamaa wafup! Wakati wanaimba ilikuwa kama wataanziwa na mvua ya magoli...
 
hawa wakorea wanatia huruma hata ku-hold mpira hawawezi,mda wowote wanafungwa manake sidhani kama watamudu kukaba hivi mpaka mwisho.
 
Fifa rankings

Brazil 1
North Korea 105
Tanzania 108

Na mpaka sasa Brazil wanaendeshana na North Korea. Tutaona kama bongo walichachawa tu kufungwa 5-1.

Au labda FIFA rankings are unreliable in giving a meaningful comparison and prediction.
 
Back
Top Bottom