Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Hii mechi labda itatupa picha kamili ya nani atakayeweza kuibuka kidedea kwenye haya mashindano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mechi labda itatupa picha kamili ya nani atakayeweza kuibuka kidedea kwenye haya mashindano.
Nimempenda mkorea alokuwa analia akiimba wimbo wa taifa 🙂
Jamani Preta ina maana wewe tayari ushamjua mshindi, mbona ndio kwanza asubuhi!.ina maana mpaka sasa hujamjua mshindi?.......kuna hili lijamaa la Korea sijui linalia nini
Nadhani jamaa pia ni mzuri uwanjani, ndo huyo kawakosakosa sasa hvmkuu ule ni uchuro ili waonewe huruma...lazima gunia la magoli leo walibebe
Nimempenda mkorea alokuwa analia akiimba wimbo wa taifa 🙂
Hawa ni wa North Korea!.huyu jamaa anaonyesha ana uchungu sana na nchi yake au ana emotions za kuruhusiwa kutoka S.KOREA kwa mara ya kwanza,jamaa kanifanya niwashangilie S.KOREA mashindano haya......
Hawa ni North Korea jamani sio south.....mpira wao hauna mvuto kabisa naona ni yaleyale ya kwetu ya piga piga tu bila mpango....Brazil wanatakiwa washushe kipigo cha nguvu hapa...Haya SAMBA BOYS ndani ya nyumba......najua wengi tuna hamu ya kuona BRAZIL ikionyesha soka linavyotandazwa,je kutakuwa na kapu la magoli au S.KOREA wataleta surprise of the century??karibuni....
Yule jamaa aliyekuwa analia nadhani anaomboleza kwa kipigo kitakachofuatia.
mie nahisi alikuwa anakumbuka tu matatizo ya nchini kwao.Hii kali yani jamaa alikuwa anaashiria leo watavuvuzeliwa kweli kweli na Samba boyz..ha ha