Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah nimeiona..ya kwanza umeiona?
Hahahaaaa ebwanaeee... watoto hawa bwana... Zingeongezwa dkk! Aaah wamepambana jamani!!
HATA SIELEWI JK BOYS WALIFUNGWAJE 5-1. Haya sasa Korea Wamesawazisha, na imebaki dakika 2.:crying:Ila kubutua nako wanabutua! Toka hii mech imeanza! Sanaaaa cjui kwa kuwa kujaribu si kushindwa!! Haaa! Yani goli liko kati butuo linapaa juu tena pembani yagoli kulia/kushoto...duuu..
JK boys pia walifungwa 2-1 zile 3 nyingine kafungwa Muharami Mohammed peke yake (binafsi) kutokana na uzembe wake.HATA SIELEWI JK BOYS WALIFUNGWAJE 5-1. Haya sasa Korea Wamesawazisha, na imebaki dakika 2.:crying:
WAJERUMANI wananafasi kubwa na hili kombe ! ngoja tuone waspaniola