World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hahahaaaa ebwanaeee... watoto hawa bwana... Zingeongezwa dkk! Aaah wamepambana jamani!!
 
sijapenda....sikutegemea N.Korea watafungwa mabao machache namna hii, well...sio mbaya japo hata hilo limoja wamelipata kimakosa
 
Duh 2-1 against brazil.....kwa n.korea kama ushindi.....bring on ivory coast,portugal............
 
kwa mwendo huu jamani tuwe wakweli tu , Brazil inakibarua kigumu , tofauti na watu wengi wanavyodhani kuwa itakuwa rahisi kwao kuchukua ubingwa ....,...yangu macho..
 
Bravo Brazil ila wanahitaji jitihada lol!..N.korea nao mpaka wamepata moja alilolilia yule mchezaji kwenye wimbo wa Taifa,isijekuwa amkefunga yaya..huh!!
Nisubiri kesho kumwona Torres!..
 
Hahahaaaa ebwanaeee... watoto hawa bwana... Zingeongezwa dkk! Aaah wamepambana jamani!!

Kama vile walikuwa wanapambana na S.Korea(joke)..ha ha,ila Brazil imepwaya kiukweli yani sijaona makali ya kaka wala brother kiivyo!!!
 
Ila kubutua nako wanabutua! Toka hii mech imeanza! Sanaaaa cjui kwa kuwa kujaribu si kushindwa!! Haaa! Yani goli liko kati butuo linapaa juu tena pembani yagoli kulia/kushoto...duuu..
HATA SIELEWI JK BOYS WALIFUNGWAJE 5-1. Haya sasa Korea Wamesawazisha, na imebaki dakika 2.:crying:
 
WAJERUMANI wananafasi kubwa na hili kombe ! ngoja tuone waspaniola
 
Inaonekana Sauzi kuna kiwinter cha nguvu mpaka jamaa wanavaa glovu sio!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…