World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hata mimi nakubali chile ni noma, kuna jamaa anaitwa Sanchez winga ya kulia hafaiiii.
 
jamani kuna namna ya kuona live kwa sisi ambao bado tupo maofisini? I Mean kwa mtandao
 
duh! niseme ukweli tu hiyo nchi HONDURAS ndo naiskia leo.
 
Sanchez ndio mrithi wa C Ronaldo Man UTD lakini wote poteza wakati tu
 
chile r on fire! ......hzo kosa kosa za magoli za kumwaga! duh
 


One of the favourites uwanjani leo nao si wengine ni EUROPEAN CHAMPS,SPAIN.....
Kuangalia Spain ni kama kuangalia BARCA i hope we wont be disappointed.....
 
spain team;cassilas puyol,ramos,pique,capdevilla xavi,busquets,alonso,iniesta,silva villa....

torres,fabregas........... bench
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…