ndio wakoje hao...
Hawa waswis wanakaribisha mashambulizi sana, Torrez ndani!
nadhani pale refarii alikuwa anaangalia kitakachotokea, Nkufo asingefunga refa angetoa penalt.
Wasio na majina wala kashfa...non celebrity....! tupo pamoja mkubwa.....?
Alonzoo....hapa kuna dalili ya goli
Kwa nini walimuacha Marcos Senna ,huyu ndio aliwasaidia kuchukua EURO