World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Walah nimependa sana jinsi Puyol alivyozungushwa na huyo dogo raha kweli yaaaani weeee achaaaa tuu hawa ndo the FAVORITE huh huh huh!!
 
BADO dakika kama tano hivi FAVOURITE wanapamba ulimi nje naombea wafungwe ila hata wakitoa draw katika dakika hizi itakuwa ni fundisho kubwa kwao Duh Nilisema watoto wA BLATER si wa kubeza...Lets Go SWISS
 
Huyo Del Bosque kwa nini alimlazimisha Iniesta kucheza wkati ni majeruhi? Kwa nini asingemuanzisha Fabrigas
 
Wa Swiss wame wa-surprise Spain big time ,kama wamarekani walivyofanyia.

AW, tutampata tu bingwa wa dunia katika kandanda, lakini katika raundi hii ni mapema sana kuweza kujua/kutabiri ni timu gani itakuwa mabingwa. Hao Spain wamejiweka katika wakati mgumu ili kuweza kusonga mbele.
 
Huyo Del Bosque kwa nini alimlazimisha Iniesta kucheza wkati ni majeruhi? Kwa nini asingemuanzisha Fabrigas


FAB anacheza central midfield kwa maana ingine namba yake ni ya XAVI.........
 
AW, tutampata tu bingwa wa dunia katika kandanda, lakini katika raundi hii ni mapema sana kuweza kujua ni timu gani itakuwa mabingwa. Hao Spain wamejiweka katika wakati mgumu ili kuweza kusonga mbele.

Bado wakubwa wale wale wana nafasi ,tunachofurahia kwamba wanapata challenge na wengine wanafungwa.its good for football.
 
Bora spain wamefungwa,mimi naomba wote the so called favorites hata mmoja wao asibebe kombe
 
Spain believed they are the best kwa hiyo badala ya kufanya mazoezi waliwaruhusu mamuluki wa Barca kwenda kumtongoza Cesc na attention yote ya mpira kutoweka. Switzerland wamefanya kazi waliyotumwa. Good work Swiss.
 
Back
Top Bottom